Kitomai
JF-Expert Member
- May 21, 2009
- 1,098
- 324
Mnunuzi anatafuta gari ya Toyota yenye sifa zifuatazo:
Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali wasiliana kupitia WhatsApp:
📞 0784225000.
-
- Uwezo wa Injini: 1500cc au chini.
- Hali: Gari iwe katika hali nzuri, isiwe na matatizo makubwa.
- Historia: Haijawahi kuhusika na ajali.
- Bajeti: Hadi TZS 5,000,000 (Milioni 5).
Ikiwa una gari inayolingana na maelezo haya, tafadhali wasiliana kupitia WhatsApp:
📞 0784225000.
-