sisi ni ndugu
Senior Member
- Sep 4, 2018
- 121
- 138
InawezekanaWewe sio dereva.
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Unawezaje kuendesha gari wakati huna sifa za udereva...gari inawashwa na boda boda wewe ndio uendeshe kazi ipo hapo
asante sana nimekupata mkuuChukua ufunguo bonyeza nao hicho kifufe Cha start, betri ya funguo ipo low.
Pia gari zingine Zina sehemu maalumu ya kuweka ufunguo ukiwa ipo low battery weka ufunguo hapo washa
hahahaha kazi kweli kweliUnawezaje kuendesha gari wakati huna sifa za udereva...gari inawashwa na boda boda wewe ndio uendeshe kazi ipo hapo
yap toyotaGari ya aina gani? Toyota?
mkuu amini kabisa hatua zote hizo nilichukua, sema kuna shida tu somewhere bado hatujaigundua, maana wanasema ni kawaida eneo hilo sensor kugomaChukua ufunguo bonyeza nao hicho kifufe Cha start, betri ya funguo ipo low.
Pia gari zingine Zina sehemu maalumu ya kuweka ufunguo ukiwa ipo low battery weka ufunguo hapo washa
Kuna alama ya ufunguo kwenye dashboard? Au Kuna Alam yeyote? Vinginevyo piga picha msg unayopata kwenye gari tukupe solutionmkuu amini kabisa hatua zote hizo nilichukua, sema kuna shida tu somewhere bado hatujaigundua, maana wanasema ni kawaida eneo hilo sensor kugoma
Kuna alama ya ufunguo kwenye dashboard? Au Kuna Alam yeyote? Vinginevyo piga picha msg unayopata kwenye gari tukupe solution
Wabongo awashwindwi kitumkuu amini kabisa hatua zote hizo nilichukua, sema kuna shida tu somewhere bado hatujaigundua, maana wanasema ni kawaida eneo hilo sensor kugoma
kumbe sipo peke yangu niliyepata shida hyo, nashukuru sana mzee hapo umenitoa upofu, pamoja sanaMaeneo ambapo hizi gari (push to start/press button) zinasumbua sana kuwaka unapozima ni pale junction ya Tazara/ Bakhressa/ Dar Group Hospital/.. Nilikuwa pia napata sana shida, ila suluhisho ni kuweka hiyo sensor (funguo) palepale kwa start button unapo switch on gari yako..
Umempa jibu sahihi, Sensor unaiweka palepale kwenye button ya start na una push hiyo button uku ukiwa umekanyaga break na gari itawakaMaeneo ambapo hizi gari (push to start/press button) zinasumbua sana kuwaka unapozima ni pale junction ya Tazara/ Bakhressa/ Dar Group Hospital/.. Nilikuwa pia napata sana shida, ila suluhisho ni kuweka hiyo sensor (funguo) palepale kwa start button unapo switch on gari yako..