gpblaze
JF-Expert Member
- Jun 25, 2011
- 304
- 14
Wadau wenye uzoefu na magari.naomba ushauri wa aina gani ya gari(automatic) nayoweza kununua baada ya kuuza niliyonayo.isizidi 1500cc. Nategemea kuwa na tsh 7milions baada ya kuuza na kuongezea kiasi flani cha pesa.
Niko dsm. Matumizi yangu mara nyingi ni ya kawaida sana kwa siku.mara nyingi natumia kwenda kazini ambako ni kama km 1 kutokea napoishi.
NINA BODY KUBWA FLANI ALAFU MREFU KIASI.napenda yenye nafasi ya kutosha hasa kwenye seat ya driver.
Niliyonayo nauza sababu nataka kujiupdate tu na sio kingine.yenyewe ni 1.5cc ila iko ki-tax zaidi.(COROLLA LIMITED)