Sawa nakucheki inboxInatumika Dar maeneo mjini au?.....kama upo interested na yenye 1980cc, nichecki inbox.
Alexander The Great
Kaka nimepata brevis, sikua nataka gari ya biashara. Ila nilitoa tu pendekezo nisipate gari yenye cc kubwa.Hajaamua kuwa tuu mkweli, angeweza kusema natafuta gari ndogo nifanye shughuli ya uber/taxify kwa siku nitarudisha 25,000/= ni biashara nzuri sana kwa mwezi 700,000/=
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji851][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji205]Jaman wadau sijakimbia Ila Nilikua na kazi zingine, sikukimbia .
UPDATE
asante kwa ushirikiano wenu
Nimeshapata gari
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa kwa kweli kaumbuka siyo utani,[emoji851][emoji28][emoji23][emoji1787][emoji205]
Karibu
izo apo 0766 85 71 20
kwa siku elfu 25 ni sawa na miezi 833.33 ambayo sawa na miaka 69 si ndio mkuu?Habari wadau, nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza mkataba. Napatikana dar. Mawasiliano 0683069444.
Sent using Jamii Forums mobile app
Daah! Watu mpo makini hahahhahaa!!
mkuu hiyo namba yako piga nayo picha utume whatsappHabari wadau, nahitaji gari ya kukodi kwa siku elfu 25 yenye cc ndogo 1500 kushuka chini, kwa matumizi binafsi sio biashara, kwa mwezi mmoja, kama mabadiriko ya kikazi yakitokea nitaongeza mkataba. Napatikana dar. Mawasiliano 0683069444.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo ndo umeamua kuchochola rasmiJaman wadau sijakimbia Ila Nilikua na kazi zingine, sikukimbia .
UPDATE
asante kwa ushirikiano wenu
Nimeshapata gari
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Unajua sio kila tangazo unalopost linamuhusu mwenye account , wengine hawana account jf, Ila wanaomba wapostiwe matangazo yao ili yawafikie wengi, kama inavyofanyika instagram, so ukikazana kusema sio Kweli Labda Wewe Ndio Unajua ukweli halisi.
Sent using Jamii Forums mobile app