Gari ya kukodi inatafutwa

Gari ya kukodi inatafutwa

banalunda

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
231
Reaction score
67
Wakuu habari za majukumu?
Natafuta gari ya kukodi kwenye harusi, gari aina ya , Range rover sport, Mercedes Benz S class au Limosine yoyote. Natanguliza shukrani zangu za dhati.
 
IMG_20140608_133748.jpg IMG_20140503_094026.jpg250214-1841(001).jpg250214-1843(001).jpg

Vipi hii apo juu itaweza kukusaidia? ...ni toyota verossa, if yes nicheki apa 0755 927881 whatssapp!
 
Back
Top Bottom