abudist
JF-Expert Member
- Oct 25, 2009
- 856
- 788
Wakuu nahitaji gari ya kukodi kwa bei nafuu Dar muda wa mwezi mmoja kuanzia tarehe 20 Januari. Takuwa na shughuli za ujenzi hivyo takuwa nazunguka nayo kwa shughuli ndogo ndogo. Nahitaji gari kama SUV, Noah nk.. yenye nafasi. Siyo saloon na isizidi kubwa wa 2.0 engine size yaani isiyokula mafuta sana.
Tafadhali sitaki gari mkweche🙂 inatakiwa iwe na muonekano mzuri na karatasi zote zinazotakiwa barabarani. Sitaki kutumia gari za kampuni za kukodisha magari sababu wana tamaa wana bei za juu na makato ya ajabu ajabu. Kama una gari ya ziada hivyo hii ni fursa hasa usawa huu wa awamu ya 5...😎mambo magumu. Kama unayo gari unataka kukodisha wasiliana na mimi inbox.