lawyerrr
Member
- Jun 20, 2017
- 66
- 60
Asalam alaykum ndugu zangu.Bila kuathiri maelezo katika kichwa cha habari hapo juu,nahitaji kununua gari kwaajiri ya abiria.
Gari iwe nzima na iwe haina deni lolote,pia iwe haijarudiwa rangi wala kuwahi kugonga sehemu.
Kwakuzingatia masharti yaliopo kwenye aya ya pili ya Uzi huu,ofa yangu ni shilingi milioni Tisa.
Weka gari na bei yako,nikiridhika na gari yako ntakupm kisha tubadilishane namba na hatua zingine zifuate.
Shukran