Gari Toyota Starlet inahitajika haraka

Gari Toyota Starlet inahitajika haraka

Unazungumzia gari za mwaka gani wewe! Ubora wa gari ni matunzo Gari za Mjapani zote zipo fresh usipumbaze watu kuwa ipi nzuri na ipi mbaya.... zote ni Japanese car.ila kwa hapa nchini kwetu gari zilizoanza kuja zilikuwa ni Starlet so kuna aina fulani ya fashion za magari Bongo... Vitz ni baada ya Starlet

Kaka acha ubishi. Starlet na Vitz ukipewa uchague utachagua gari gani?
Nnapozungumzia ubora let us look at the two cars mentioned only.
 
acha kudanganya watu wewe,hata hujui mbadala wa stalet ni nini.

Hakuna anaedanganywa hapa wewe. Hata kama Vitz ni mbadala wa Starlet bado Starlet iko juu kiubora kuliko Vitz.
Ngoja wadau waje kukwambia
 
Milioni mbili na laki tatu
Kwa hiyo bei sikushauri uwe na wazo la kununua gari, busara zaidi anza na pikipiki ya Boxer zungusha zichange zaidi ukifikisha angalau milioni 5 hata mimi nitakusaidia kukutafutia gari nzuri ambayo huwezi amini kama umenunua kwa bei hiyo.
 
tehe unataka gar unataka mkweche hahahh 3.5 huwez pata gar nzur
KAKA sijasema 3.5 nimesema 2.3. tuliomba aseme bei yeye akasema tutoe dau. ndo tunaanzia hapo yeye aongeze. ni kama mnada vile bei inaanza chini kwenda juu. unashangaa gari kwa 3.5 wakati watu washanunua nyumba ya milioni 700 kwa milion 7. Serikalini tunanunua gari la milioni arubaini kwa milioni 5. kisa matairi yameisha.
 
Kwa hiyo bei sikushauri uwe na wazo la kununua gari, busara zaidi anza na pikipiki ya Boxer zungusha zichange zaidi ukifikisha angalau milioni 5 hata mimi nitakusaidia kukutafutia gari nzuri ambayo huwezi amini kama umenunua kwa bei hiyo.
kaka ninalo prado gxl 2013. nimedunduliza mwezi mmoja na nusu kaka. nitajitahidi hiyo 5m kudunduliza siku mbili alafu nikutafute, nataka nimpe mdogo wangu zawadi akifaulu darasa la saba mwaka huu.
 
KAKA sijasema 3.5 nimesema 2.3. tuliomba aseme bei yeye akasema tutoe dau. ndo tunaanzia hapo yeye aongeze. ni kama mnada vile bei inaanza chini kwenda juu. unashangaa gari kwa 3.5 wakati watu washanunua nyumba ya milioni 700 kwa milion 7. Serikalini tunanunua gari la milioni arubaini kwa milioni 5. kisa matairi yameisha.
...kama hili hapa...

attachment.php
 
tafuta 5.5mil nikupatie staret ya mwaka 2001

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaka acha ubishi. Starlet na Vitz ukipewa uchague utachagua gari gani?
Nnapozungumzia ubora let us look at the two cars mentioned only.

Kaka Kipenda roho tu... Hostoria ya Starlet nimeona kwenye web ni gari za miaka ya 70s kuanzia first Model tena ziliibadili aina ya model flan... so Starlet zimekuwepo kwa miaka mingi au tuseme kwa zaidi ya miaka 40 na hazitengenezwi tokea mwaka 1999 na vitz zilianzwa kutengenezwa mwaka huo 1999

Starlet sedan mwaka 1973 hadi 1978

Toyota Starlet 1000 Deluxe (KP60, Europe)Mwaka 1978 hadi 1984

Toyota Starlet 1.3 Si (EP71, Japan) 1984 hadi 1989

Toyota Starlet 1.3 XLi (EP81, Europe)1989 hadi 1995

Toyota Starlet 1.3 Style (EP91, Australia)1996 hadi 1999

Starlet 1.3 Glanza V Turbo (EP91, Japan)

Toyota Starlet 1.3 Carat (EP91, Europe) afadhari ya hii model kidogo inapendeza Granza ni fresh ila Three Door

Toyota Vitz Clavia 1.3 1999 Useme nichague Starlet kwanini?? Hizi Gari zina nafasi kubwa na ni nzuri zipo kwenye game tokea 1999
 
Hakuna anaedanganywa hapa wewe. Hata kama Vitz ni mbadala wa Starlet bado Starlet iko juu kiubora kuliko Vitz.
Ngoja wadau waje kukwambia

Hebu niambie ubora wa gari ni nini? stalet na vitz zinazidiana nini?kwa sababu wengi wenu mmekariri mkisikia story vijiweni tayari na nyie mnasambaza kwa wengine bila kujua/kufanya utafiti.
 
kwani we unaelewaje?
 
Kaka Kipenda roho tu... Hostoria ya Starlet nimeona kwenye web ni gari za miaka ya 70s kuanzia first Model tena ziliibadili aina ya model flan... so Starlet zimekuwepo kwa miaka mingi au tuseme kwa zaidi ya miaka 40 na hazitengenezwi tokea mwaka 1999 na vitz zilianzwa kutengenezwa mwaka huo 1999

Starlet sedan mwaka 1973 hadi 1978

Toyota Starlet 1000 Deluxe (KP60, Europe)Mwaka 1978 hadi 1984

Toyota Starlet 1.3 Si (EP71, Japan) 1984 hadi 1989

Toyota Starlet 1.3 XLi (EP81, Europe)1989 hadi 1995

Toyota Starlet 1.3 Style (EP91, Australia)1996 hadi 1999

Starlet 1.3 Glanza V Turbo (EP91, Japan)

Toyota Starlet 1.3 Carat (EP91, Europe) afadhari ya hii model kidogo inapendeza Granza ni fresh ila Three Door

Toyota Vitz Clavia 1.3 1999 Useme nichague Starlet kwanini?? Hizi Gari zina nafasi kubwa na ni nzuri zipo kwenye game tokea 1999

ahsante mdau
 
Mkuu, kama ulipiga basi ulikosea masharti ya tangazo maana nilisema utume tu sms. Kuna walionitumia sms kwa bei ya milioni 5.5 na milioni 3.8 nafanya mpango wa kuziona na nitatoa ripoti kama biashara imeisha au bado ipo.
Jana umepigiwa hadi leo ujatoa jibu sasa unataka ya Bei gani??
 
Nahitaji used. Mwenye nayo au anajuwa wapi naweza kupata kwa bei rahisi aniandikie sms kwenye 0769142586. Kama ipo Dar itakuwa vizuri zaidi.
Mkuu nitakufahamisha Muda wowote kesho ipo kuna m tu kanifahamisha ipo Starlet bomba sana nimeambiwa ya Muhindi bei hajanipa but nidokeze kidogo bajeti yako... ila bila simu mmh!
 
Back
Top Bottom