Gari Toyota ipsum inauzwa

Gari Toyota ipsum inauzwa

Jopapa

Member
Joined
May 28, 2019
Posts
63
Reaction score
27
Black in colour, namba c ni gari nzuri Na inatunzwa vzr sana na imewekwa tyres mpya kwa kuwa mmilili ni mtu wa Safari hivyo kuhusu safari hii gari ndiyo yenyewe. Full AC, full vibali na haidaiwi, piga 0783 662495 nipo dar es salaam
IMG-20190615-WA0010.jpeg
IMG-20190615-WA0008.jpeg
IMG-20190615-WA0009.jpeg
IMG-20190615-WA0012.jpeg
IMG-20190615-WA0011.jpeg
 
Taja bei mtu akipendezwa anakucheki
 
Mleta mada sema unahonga ipsum sio unauza.
Huwezi uza kitu bila bei.
 
Kwakuwa mmiliki ni mtu wa safari, hii gari imetumika saanaa..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom