elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,747
Ni nzuri tatizo bei ni ya dukani hiyo mkuu
Nahitahi noah ya mwaka 2002 ya rangi nyeusi.je unaweza kuwa nayo
Hivi nyinyi mnaotaja hizo bei, mnafikiria nini
Huyo Alteza Gitta kuna mfanyakaz mwenzangu kaipokea yake 3 weeks ago na gharama aliyotumia hadi ameiweka barabarani ni 10m kasoro
Watanzania wengi wanalanguliwa kwa kutokuwa na information.Hivi nyinyi mnaotaja hizo bei, mnafikiria nini