Gari Rav4 inauzwa

The Bizz Buzz

Member
Apr 18, 2014
19
0
Gari class B, ya mwaka 1999, ipo dar es salaam, bei 9.5m
 
Attachments

 • 1402734495152.jpg
  1402734495152.jpg
  30.1 KB · Views: 515
 • 1402734536936.jpg
  1402734536936.jpg
  36.6 KB · Views: 466
 • 1402734563285.jpg
  1402734563285.jpg
  42.5 KB · Views: 444
 • 1402734625269.jpg
  1402734625269.jpg
  45.5 KB · Views: 427
 • 1402734649093.jpg
  1402734649093.jpg
  34.9 KB · Views: 415
Gari class B, ya mwaka 1999, ipo dar es salaam, bei 9.5m

Hapo ndo umemaliza tangazo?? Tembele www.tradecarview.com au www.beforward.com uone jinsi wanavyotangaza magari yao hadi wewe ukavutiwa ukalinunua.
 
Hapa ni jf sio udhanivo...gari iliyopo ni moja yanini kufungua website for only one car...grow up
 
Hapa ni jf sio udhanivo...gari iliyopo ni moja yanini kufungua website for only one car...grow up

mkuu naona hujaelewa wewe..hujaambiawa ufungue website, ila umeambiwa "tembelea" website hizo ili uone jinsi wanavyotangaza biashara..
Kimsingi ni kwamba tangazo lako halijakamilika.
Weka spesfication zote muhimu.
 
Hahaha huyu jamaa ni zero hata uelewa wake utakuwa mdogo aisee, yeye alifikiri aanzishe website dah!!!
 
Hahaha ndugu hayo sio matusi najaribu kuwaelekeza wengi ambo hajui namna ya kua ma-critics sio kwa kutukana watu nadhani ndo mafunzo tunayopewa nawazee wetu..
 
Hahaha ndugu hayo sio matusi najaribu kuwaelekeza wengi ambo hajui namna ya kua ma-critics sio kwa kutukana watu nadhani ndo mafunzo tunayopewa nawazee wetu..

Nikusaidie kidogo.
Toyota Rav 4 yr 1999
Milangoo.mi.........
Uwezo wa injini..........
Imetembea kilometers. .........
Imetumika kwa wamiliki wa.....
Malizia hivyo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom