Gari Rav 4 inauzwa bei poa

Gari Rav 4 inauzwa bei poa

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Lav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : RAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU HALALI
PIGA. 0714 045 080.
UKITAKA PICHA UTATUMIWA KWA WHATSUPP....
 
Lav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : LAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU HALALI
PIGA. 0714 045 080.
UKITAKA PICHA UTATUMIWA KWA WHATSUPP....

LAV 4? Hii ni model mpya?
 
Nimekosea wakuu... ni Rav 4. Bei njoo inbox ya number hyo as ante..
 
Lav 4 inauzwa ipo katika hari nzuri (haina tatizo lolote)
MODEL : LAV 4
BODY TYPE: STATION WAGON
COLOUR: SILVER
ENGINE CAPACITY: 1990
FUEL: PETROL
FROM: JAPAN
MANUFACTURE: 2003.
INA KILAKITU HALALI
PIGA. 0714 045 080.
UKITAKA PICHA UTATUMIWA KWA WHATSUPP....

Tuma picha kwenye no hii
0783349957
 
Nitumie picha no 0713228915

Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Watu wengine mnafanya biashara ziwe ngumu wenyewe, aje inbox, inamaana ni.bei ni siri utadhani unaunza bangi
 
Huyu lazima mfanyakazi kama mimi maana ndio hupenda kuficha bei kama wanavyofichiana mishahara
 
Huyuu mtu huyuu.... Mi nimetafuta whatsupp kwenye Google playstore haipo
 
Guys isiwe kesi hakuna biashara inafanyika kwa charting hiyo ni dondoo ukija inbox nakutumia picha ya gari na bei
kwa walio wasiliana na mimi inbox wamepata bei lakini mauziano ni mpaka uione gari uikague n.k najua nyinyi mnao taka kujua bei hampo tayari kununua gari ila mnataka kujua bei ili mkipata hela mnunue, sasa ikiwa unahitaji kujua tuu bei kuna
wadau wanajua saana bei za magari yard, au hata kwa kuagiza nje omba msaada wakusaidie lakini kwa hii mtu aje in box tunaongea biashara.. SAMAHANI LAKINI. ASANTE
 
Sasa si ungepeleka tangazo lako huko inbox...hii sio black market
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom