Gari pickup inatakiwa haraka

Gari pickup inatakiwa haraka

ELIASANTE

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2014
Posts
330
Reaction score
67
Nahitaji gari pickup aina yoyote iwe au toyota,au nissan,au pegout,iwe ktk hali nzuri,bodi na engine,pia iweze kutembea masafa yenyewe kwenda destination area.

Nipigie 0784413039.

Sihitaji dauble cabin,hata landlover ikipatikana itakuwa bomba.iwwze kubeba kuanzia tani moja.
 
ELIASANTE

Mkuu ungesema kama ni ya kukodi ama ya kununua nadhani ingekuwa vyema zaidi.

Na pia si mbaya kama ungeweka hata na offer yako ili kumhamasisha mtu kiongozi.
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji gari pickup aina yoyote iwe au toyota,au nissan,au pegout,iwe ktk hali nzuri,bodi na engine,pia iweze kutembea masafa yenyewe kwenda destination area.

Nipigie 0784413039.

Sihitaji dauble cabin,hata landlover ikipatikana itakuwa bomba.iwwze kubeba kuanzia tani moja.

ninazo Toyota Hilux ,Nissan Dutsun na town ace zote kuanzia tani moja
0715 993 883
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom