Gari Noah inauzwa

Gari Noah inauzwa

lowale

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2012
Posts
209
Reaction score
109
Ninauza gari yangu aina ya Noah ya mwaka 1998 ninaitumia kwa shughuli za kifamilia hapa mjini.gari hii iliingia tanzania miaka miwili iliyopita.iko kwenye hali nzuri imetembea km 130548 rangi yake ni silver BEI NI MILION KUMI HAINA UDALALI
kama unaihitaji nitumie sms kwenye simu namba 0734407588​
 
Nitaweka ila sina kamera kwa leo .gari imetulia ina tairi mpya nilivalisha dec na leo imetoka service ya kawaida.
 
Ok mimi ninauza ya mwaka 2000 imetembea km 200000 iko na hali nzuri kabisa silver.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom