Gari ndogo Toyota Inauzwa

mkonowapaka

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
1,493
767
hello jf

nauza gari aina ya Toyota Corona Exiv..ni gari yangu hakuna udalali ipo dares salaam.

ni gari yamwaka 1999.....

inatembea na ipo kwenye hali nzur kama inavyoonekana nahitaji tu kuiuza maana nimenunua nyingine.

manual car

cc 1800

power windows (japo iko faulted ni ya kubadili kioo kimoja hakishuki).

black metalic
sports rimz
taa moja ya parking ya mbele kushoto imepasuka
odometer 180,000km
haijalipiwa roadlicense mwaka 1.
Full air conditioning.
Engine 3S aka moyo wa simba.
spair tyre na jeki vimo.

Gari inakimbia sana hii nimeitumia kwa miaka miwili bila matatizo yeyote ya kiufundi.......... na ulaji wa mafuta ni mdogo kompead na cc zake...

serious buyers nitumie PM...huko utapata namba yangu ya simu

Bei ya kuanzia ni 3.5milion nimeshusha

IMG_20131205_142312_0.jpg IMG_20131205_142322_0.jpg IMG_20131205_142459_0.jpg
 
kama mpaka next week itakuwepo tutaona cha kufanya kwa sasa npo arusha ila ponapo uhai ntakuwa dar by alhamic ijayo so tunaweza fanya biashara
 
Back
Top Bottom