Gari mpya Fortuna 2013 Model inahitajika

Gari mpya Fortuna 2013 Model inahitajika

Dena Bura

Member
Joined
Mar 7, 2011
Posts
15
Reaction score
24
Salaam!
Nahitaji kununua gari aina ya Fortuna hapa Tanzania. Nina taarifa za kuwepo kwa TOYOTA Tanzania kama moja ya wauzaji wa magari mapya.
Naomba kujulishwa wapi pengine naweza kupata gari jipya la mwaka 2013. Chaguo la kwanza ni Fortuna ila naweza badilisha kwenda gari lingine linalofanania.
Asante
 
ngoja Gefu na wadau wake wengine waje kukupa majibu fasta.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu.....kwa nini usiagize huko huko Japan.......?....Fortuner sio gari ya kichovu.....so pesa kwako itakuwa si ya mawazo......
 
Mkuu.....kwa nini usiagize huko huko Japan.......?....Fortuner sio gari ya kichovu.....so pesa kwako itakuwa si ya mawazo......

Halafu mbona haunekani kijiweni,...njoo nikung'arishe bhana
 
Mkuu.....kwa nini usiagize huko huko Japan.......?....Fortuner sio gari ya kichovu.....so pesa kwako itakuwa si ya mawazo......

da preta umetupia vibwagizo naona......
 
Kiongozi hilo gari linapatika kwa 46 , kama vp ni pm nikuunganishe na muuzaji
 
hello umepata gari?kama bado tuwasiliane.
 
fortuner.jpg

  • TOYOTA NEW Fortuner 3.0 L Diesel 3.0 V/5AT/4x4
    FOB Bangkok US$51,400.-

Thailand stocks - Japanese used cars exporter Autorec
 
Back
Top Bottom