Daddo
JF-Expert Member
- Jan 17, 2013
- 1,435
- 1,025
Habari zenu wakuu!
Samahanini jamani naomba mwenye kujua anisaidie yafuatayo;
> Endapo gari langu nitaliacha kwa muda mrefu bila kulitumia je kuna matatizo ambayo yanaweza kujitokeza?
> Kama jibu la hapo juu ni ndiyo je inatakiwa liwe angalau linawashwa na kuendeshwa kila baada ya muda gani na liendeshwe at least umbali gani?
Natanguliza shukrani kwenu.