Gari lipo au?

Jun 30, 2017
70
21
Jaman wana JF kama kuna mtu anauza gari yoyote ile iwe ina vigezo vyote vya serikali bei iwe kuanzia mil 30 na kuendelea lakini iwe sawa na mpya isiwe na matatizo kama kuna mtu anayo basi mwambie aendelee kuiuza mm sina hela

NIPO HAPA NIMELALA TU
 
Ukitoka mirembe, uje ufanye editing kwenye huu uzi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom