Gari linauzwa (iko kwenye C)

Gari linauzwa (iko kwenye C)

Njoo nikupe kwa dola 500. Pitia pale kiboriloni utaziona za kumwaga. Hapa uzuri ipo moja jamaa yupo tayari kwa 1.5m, pale trafic central ndo kabisaaa. Wakikugonga sana itakuwa 2m. Huko Mbozi bado zinatembea na TZ, MS, MG etc.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom