Gari linauzwa. Fuso Tandam. Bei nzuri

chambalo kafao

Senior Member
Feb 8, 2014
193
209
Tafadhali piga namba 0713817818
Tafadhali fungua picha. Gari lipo morogoro
IMG-20170403-WA0086.jpg
IMG-20170403-WA0085.jpg
IMG-20170403-WA0084.jpg
 
Namba D lakini inaonekana imechoka kimtindo ebu weka bei kwanza tujue
Inaonekana madereva wameshamtia hasara. Hiyo gari inaonekana imepata ajali wakati bado mbichi mpaka yeye hana hamu... Hata mimi mpaka nimeacha biashara ya magari, madereva walishanifanya kitu mbaya sana... Pole mjasiria mali... Wala hata usiuze hiyo gari... Nunua cabin mpya afu kata bima kubwa biashara iendelee...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom