teac kapex
JF-Expert Member
- Jan 23, 2011
- 470
- 137
Hahahahaa........V8 Amazon kwa 11m....daaadeeeki.+
Mkuu itakuwa 110m labda alikosea
Hahahahaa........V8 Amazon kwa 11m....daaadeeeki.
Jamani nauza gari langu aina ya landcruiser vx v8 amazon limetembea mwaka mmoja lina km 92375 sh 11000000 nataka kubadilisha fashion, mwenye kuhitaji anipigie 06844247989 gari ipo mwanza, nimeshinda kuweka picha sina utaalam na mambo ya computer kama nitapata wa kunisaidia nitaweka.
L/C V8 amazon kwa 11m!!!!!! Hii itakuwa ya majanga kabisa!!!!! Kama si kifaa cha mamilion kibovu basi itakuwa ina issue hii gari. Au unataka kusema 110m mkuu!!!?? Tuondoe wasiwasi!!! Ni ya mwaka gani?? Bei hiyo hata Rav4 ya 2000 hupati.
Imewekwa engine ya VW bettle.
...labda.
Okay!! Ni kama hii? Ipo namna hapa, si bure.