Mpigamimba
Senior Member
- Nov 26, 2022
- 198
- 240
IST ikimshinda MTU mkuu ni maajabu.Wanashindwa tu kukuchana kiukweli wengi tunapenda kumiliki vitu kwa show off baada ya hapo Hamna kitu ukijiuliza umenunua gari na nn mkopo wa mshahara mafuta yanatoka wapi mshahara matengenezo yanatoka wapi mshahara makato ya mkopo wap mshahara ukija kuangalia una miliki gari halafu una maisha magumu kama sio ya mkopo
Ufanye Nini:uza gari tafuta sehemu uwekeze hiyo hela uliouza gari kama ni duka au mradi wowote ambao utakuingizia kipato kila siku tena anza na mrad wa faida ndogo tu 10000 kwa siku au 5000 kwa siku utajikuta faida unayopata ndio unafanya vitu vingne .
Tafuta fundi mmoja makini. Namba za mafundi wengine usifute hujui nani atakuokoa wakati ganiUlivyolinunua hukulifanyia ukaguzi
Kwanza, angalia phone book [emoji433] yako
Isijae namba za mafundi magari [emoji1]
Ova
Namba D ist kwa milioni 6!? Hiyo gari lzm ilikuwa na issue au ilikuwa imechoka sana. Milioni 6 ni bei za namba C au B.Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Ulivyolinunua hukulifanyia ukaguzi
Kwanza, angalia phone book [emoji433] yako
Isijae namba za mafundi magari [emoji1]
Ova
😂😂Kawaida ya Gari mbovu ni kwamba kila ukiziba huku kunatoboka kule....
Kumiliki gari siyo mchezo aisee! Hela lazima ikutoke. Tena kiutani utani tu.Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Unaitoa kw ngapi?Hapana kwa kweli
Kivipi mkuu, safari za kutoka Sinza to Posta everday kwa mwezi
Mzunguko wako hauzidi km 20 kwa siku,.... baiskeli inakufaa zaodiHabarini humu wanajf, kuna kipindi niliwahi kuomba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge. Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D, toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kuanzia laki hivi, mara break, mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu, hapo bado mafuta kama 200k per month. Hivi nyie mnawezaje? Hasa vijana kumaintain hivyo.
Nawasilisha
Kila la heriMtaani kwetu ndo wataanza kusema nimeishiwa
🤣🤣 Kwakweli hapo ni mateso. Ndiyo maana watu wanamiliki gari za cc990Mimi nina gari, ila sababu sio lazima niendeshe, napanda mwendokasi na sipungukiwi kitu, natumia weekend tu na zarura