Yes mkuu au nunua toyo kama baiskel huziwezi ila gari sio hadhi yako...Dah jamani.
Mkuu, nina Milioni 4.5 niuzie gari hiyoHabarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Tatizo unafanya service robo robo badala ya kufanya service gari zimaHabarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha
Hilo tatizo ni commom sana kwa gari za TOYOTA. Ukimiliki toyota we lazima kila mwezi urudi gereji maana spea nyingi za toyota ni feki japo watu wanazipendea ule unafuu wa bei.Hapana kwa kweli
Sio gari la mkopo mkuuWanashindwa tu kukuchana kiukweli wengi tunapenda kumiliki vitu kwa show off baada ya hapo Hamna kitu ukijiuliza umenunua gari na nn mkopo wa mshahara mafuta yanatoka wapi mshahara matengenezo yanatoka wapi mshahara makato ya mkopo wap mshahara ukija kuangalia una miliki gari halafu una maisha magumu kama sio ya mkopo
Ufanye Nini:uza gari tafuta sehemu uwekeze hiyo hela uliouza gari kama ni duka au mradi wowote ambao utakuingizia kipato kila siku tena anza na mrad wa faida ndogo tu 10000 kwa siku au 5000 kwa siku utajikuta faida unayopata ndio unafanya vitu vingne .
Mkuu ungefunguka zaidi kwamba watu wajielekeze kwenye NissanHilo tatizo ni commom sana kwa gari za TOYOTA. Ukimiliki toyota we lazima kila mwezi urudi gereji maana spea nyingi za toyota ni feki japo watu wanazipendea ule unafuu wa bei.
Habarini humu wanajf,kuna kipindi niliwahi kuomaba ushauri humu kuhusu kununua gari kisa tu wenzangu wote hapa home wana magari yao nakuwa kama mnyonge.Sasa nikajichanga nikanunua gari kwa mtu kama milioni sita hivi IST number D,toka ninunue hili gari kila mwezi lazima initoke kwanzia laki hivi,mara break,mara sijui shockup mara vikolokolo vingi sana tu,hapo bado mafuta kama 200k per month.Hivi nyie mnawezaje? hasa vijana kumaintain hivyo.Nawasilisha