gari aina ya PASSO inahitajika namba lazima iwe C
Bei ni milioni 5.5
mwenye nayo anifate PM
hiyo ndo offer yangu kama anaweza kuniuzia atanifata PM
Kwa bei hiyo aisee....
Subiri sana tu wakufate PM na mitusi ya Oxford
Haa mkuu kale ka passo kwa bei hiyo watamfuata kwa matusi, kwani kale sh ngapi kwa CIF DSM