Gari linahitajika

Gari linahitajika

dhk1

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2013
Posts
1,061
Reaction score
809
wasalaam
nahitaji noah bajeti yangu mil 5 ila iwe kwenye hali nzuri
 
ndugu yangu kupata noah ya bei hiyo halafu iwe kwenye hali nzuri hakuna kitu kama hicho
labda upate isiyo nzuri ila nakushauri nunua toyota raum, vitz waweza pata hata kwa bei hiyo
nipm tuongee biashara hiyo mm ni agency wa kuagiza magari toka japan

wasalaam
nahitaji noah bajeti yangu mil 5 ila iwe kwenye hali nzuri
 
sukran za dhati jf na woote mlonsaidia kwa njia moja au nyingine.....nshapata walahi
 
Nilipata Noah iko kwenye best condition thanx jf
 
duuh kaka 5m unataka Noah???labda bila engine??au watakuuzia criper mkuu.maana hata vitz bomba haupati hela hiyo .bajaj mpya sasa hivi 6mil. sasa mkuu hapo kazi kwako.
 
duuh kaka 5m unataka Noah???labda bila engine??au watakuuzia criper mkuu.maana hata vitz bomba haupati hela hiyo .bajaj mpya sasa hivi 6mil. sasa mkuu hapo kazi kwako.

Mbona nlishapata iko poa kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom