Ellie Senior Member Sep 2, 2011 123 15 Sep 13, 2011 #1 Wana JF nahitaji kununua Toyota Chaser SX 100 cc 1800 kwa bei poa, kama kuna mdau anaweza nifanyia mambo tuongee biashara.
Wana JF nahitaji kununua Toyota Chaser SX 100 cc 1800 kwa bei poa, kama kuna mdau anaweza nifanyia mambo tuongee biashara.
NYENJENKURU JF-Expert Member Feb 11, 2011 1,062 287 Sep 13, 2011 #2 ni PM nitakusaidia kuna mtu anazo.Kwani huko wapi?