Paul Kijoka JF-Expert Member Joined Oct 25, 2010 Posts 1,399 Reaction score 256 Mar 24, 2012 #1 Kwa mujibu wa Getrude Kokwenda Ndibalema in FB, basi moja la abiria limewaka moto maeneo ya Kiiyege. Ameeleza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha ila tu mizigo michache ndo imeungua na gari limeteketea.
Kwa mujibu wa Getrude Kokwenda Ndibalema in FB, basi moja la abiria limewaka moto maeneo ya Kiiyege. Ameeleza kuwa hakuna mtu aliyepoteza maisha ila tu mizigo michache ndo imeungua na gari limeteketea.