Gari laibiwa latekelezwa mtaani kwetu;jina Freddy James t661 AJF

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
51,262
22,513
Ndugu wapendwa ni wiki mbili tu baada ya kuiba pikipiki sasa waheshimiwa wameamua kuiba gari

gari moja imetekelezwa asbh ya leo muda si mrefu baada ya watu wasiojulikana kuiiba na kuja kukimbilia kuitekeleza

gari hiyo ambayo mmiliki wake anaitwa freddy james ina namba t661 ajf polisi wameshaarifiwa wameshindwa kuibeba

baada ya waungwana hao kuchomoa matairi 3 kati ya nne na kuiweka kwenye mawe

MUNGU aepushe mbali isije ikawa wametoa roho ya mtu

Kama unaona noma kuweka Mtaa hata jina la Mji au Kitongoji... Mfano Dar,Arusha....au Mfano Sinza,K'nyama,Kijenge,Matejoo...???

Kama unaona noma kuweka Mtaa hata jina la Mji au Kitongoji... Mfano Dar,Arusha....au Mfano Sinza,K'nyama,Kijenge,Matejoo...???

HAAAHAA MPWA NI KIMARA BUCHA BANA NOMA YA NINI SIJUI KAMA USHAWAHI KUFIKA KABLA YA KUONDOKA NCHINI

Ni hiace kma una hiace imeibiwa njoo kuicheki bure kushika na hela

Kwa hiyo upo hapo Kimara Temboni unakunywa bia pale Bar na Laptop kwenye kwenye meza? Angalia isije kumwagikiwa na bia

Kwa hiyo upo hapo Kimara Temboni unakunywa bia pale Bar na Laptop kwenye kwenye meza? Angalia isije kumwagikiwa na bia

BUCHA IMEKUWA TEMBONI MBONA WADANDIA GARI KWA JUU YAKHE??SOMA UELEWE

nashangaa! na akijua huo mtaa sijui ataenda wasaidia polisi kuibeba? manake hapo ina tairi 1 hata breakdown haiwezi!

He he heeeee... ni sawa na kuandika kuna Laptop imeokotwa bila kutaja mji wala mtaa...

Back
Top Bottom