Tulimumu
JF-Expert Member
- Mar 11, 2013
- 14,395
- 13,273
Kwani waziri akipanda huwa haangalii?Jamani mtachoma vibarua vya watu.
Mh.waziri naomba umsamehe dereva kapitiwa tu.
Kwani waziri akipanda huwa haangalii?Jamani mtachoma vibarua vya watu.
Mh.waziri naomba umsamehe dereva kapitiwa tu.
Na hiyo STK ndio wanasema Sheria, Taratibu na Kanuni! Halafu ndio wa kwanza kukiuka na kufanya vurugu za kutanua barabarani​waweke mara ngapi, nakumbuka moja ya mama Salma anaenda kwenye kampeni na gari plate number private lakini vioo vimechorwa STK, hii nchi full mazingaombwe
No one is serious in this country!
Kwani waziri akipanda huwa haangalii?
Naibu Waziri Maji
Amos Makala huyo
​waweke mara ngapi, nakumbuka moja ya mama Salma anaenda kwenye kampeni na gari plate number private lakini vioo vimechorwa STK, hii nchi full mazingaombwetop officials wote magari yao yana plate number tatu kwa usalama wao. utakuta anatumia stk/stl, au private au plate number ya cheo chake. pia kila mkoa una plate number za hao wakuu, leo waziri akipanda ndege kwenda bukoba, huko atakuta ameshatayarishiwa gari lenye plate number ya cheo chake. inshort magari ya viongozi wetu, plate number zake ni bandika bandua.
Naibu Waziri Maji
Amos Makala huyo[/Q
Bila shaka yoyote
Naibu Waziri Maji
Amos Makala huyo
Na hiyo STK ndio wanasema Sheria, Taratibu na Kanuni! Halafu ndio wa kwanza kukiuka na kufanya vurugu za kutanua barabarani
Bi Mkubwa naye ni Top Official?
Bi Mkubwa naye ni Top Official?
Hana confidence na kuwa first lady mstaafu hivyo anatafuta UBUNGE huko Lindi kwa Membe!!! Membe akiukosa huo URAIS anaounyemelea sijui itakuwaje huko Lindi?
Hahahaha, haya maneno yako unayoyasema yana ukweli wowote mkuu?