SirAlfred006
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 552
- 1,306
Haya magari ya kusafirisha mairungi hukimbizwa mbio za kumshangaza chui.
Mmea huu lazima ufike sokoni ukiwa bado mbichi.
Madereva wenyewe hulipwa mshahara wao wote kabla ya kuufikisha mzigo.
Kwani mambo kama hayo ya ajali hutokea kila mara.
Kenya. View attachment 1857053