Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,111
- 34,943
Hili silo Gari takataka hili ni gari la Takataka linazoa takaHilo ni gari takataka, na linazoa takataka
Ukilita Taka haliwezi kuzoa Takataka mkuu upo pamoja na mimi?Lafaa kuitwa taka la kulzolea TAKATAKA, mana kuna kufauti kati ya taka na takataka
[TABLE="class: tborder, width: 100%, align: center"]
<TBODY>[TR]
[TD="class: alt1, bgcolor: #ffffff"]GARI LA KUBEBA TAKATAKA JIJINI DAR ES SALAAM
[/TD]
[/TR]
</TBODY>[/TABLE]
Hivyo magari kama haya bado yapo Jijini Dares-salaam? Nawauliza Wakuu wenzangu?
Sawia. Hayaguswi na trafiki yeyote ni zabuni ya Mhe. Fulani!Mmiliki wake utakuta ni DIWANI fulani