Gari la Diamond Platnumz ni bei rahisi unaweza kuagiza mpaka Dar kwa Tsh. milioni 300 na ushuru ndani

abdulhamis

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
1,436
2,292
Diamond Platnumz anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kuwa kanunua gari la bilioni, how Diamond Platnumz unakuwa muongo hivyo?

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu, huu hapa ushaidi wa bei ya gari alilonunua Diamond Platnumz na gari yake ni used kwa Bei chee.

Screenshot_20210715-093817.jpg
 
Huyu pimbi hajuj kuna magari hayapo kwenye orodha ya makadirio ya kodi kwenye system inabidi watu wakae wakwambie ulipie kiasi gani.

Mnakuja kudanganya watu wasiojua mambo.

Unaponda mwenzio kununua kitu cha mamilioni wakati wewe unadaiwa na TALA.
 
Diamond anatumia Radio na yake na TV yake kudanganya watu kua kanunua Gar la Bilion how Diamond unakua muongo ivyo

Ifike Hatua Diamond aache kudanganya watu huu apa ushaid wa bei ya Gar alilo nunua Diamond na gar yake ni used kwa Bei chee View attachment 1854453View attachment 1854454View attachment 1854455
Tumpongeze sana mwalimu wako aliyehakikisha tahahira kama wewe angalau unaweza kusoma. Kwa matope haya uliyonayo kichwani huwezi kutofautisha kwamba hiyo ni RR Ghost na Diamond ana RR Culinan?

Wewe ukisikia mtu kanunua Toyota unafyatuka kukagua bei yoyote unayoweza kugoogle na kitekno chako kilichopasuka. Utajuaje ni IST, Alex, Land Cruiser, Alphard...
 
Mkuu ngoja nikupe mfano mzuri uelewe

Toyota Rav 4 ziko za aina tofauti
1. Old Model
2. Miss Tanzania
3. Kill Time
4. Vanguard

Hzo zote hapo ni Rav 4 by nature ila bei zake ziko tofauti kabisa kutokana na Millage na mwaka uliiotengenezwa

Sasa hapo umeweka RR Ghost badala ya Culinan ambayo ni latest ya 2021 ulishindwa hata ku reason kawaida tu

Fine tyre zake mnasema gar ni used embu take trouble kutafuta bei ya used Culinan ni kiasi gani then urud tena

Tunaweza kwel kumchukia tu Diamond kwa sababu ya umasikini wetu ila atlist lets respect his husttle Man.

Peace n Out!!
 
Back
Top Bottom