🔥Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”.
View attachment 3526719
Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge.
Sawa Wachina.
Jamaa ana charging kit yake nyumbani no stress.Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”.
View attachment 3526719
Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge.
Sawa Wachina.
wanazichaji wapi sasaKuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”.
View attachment 3526719
Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge.
Sawa Wachina.
480KM anakula misele vya kutoshaKuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”.
View attachment 3526719
Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge.
Sawa Wachina.
Wana ofisi zao Dar.Kuna BYD Atto 3 (aka BYD Yuan Plus) inaonekana “Dodoma”.
View attachment 3526719
Hii full Ev kutoka China ina full range ya 420 hadi 480 km ikiwa full charge.
Sawa Wachina.
Vipi ukifika pale unaoata chuma hapo hapo au ndio mpaka wakuagizie china?Wana ofisi zao Dar.
Lazima wawe na wateja.
Sina hakika, kwa kweliVipi ukifika pale unaoata chuma hapo hapo au ndio mpaka wakuagizie china?
Mbona kaweka 420-480KMHiyo Inarange ngapi Tajiri Mad Max Furry mpaka kulitoa pale geti kubwa? Mchina ana hatari Tusubiri kuziona Tesla
Naongelea bei mkuuMbona kaweka 420-480KM
Hazijashuka bei kihiivyo ila naona siku hizi kuna betri za lithium bei yake imechangamka sana, N100 kama milioni hivi.Nimeweka solar + battery,years sijui kitu kinaitwa bill ya umeme, mkijenga wekeni solar, na sasa nasikia zimeshuka sana bei