Gari la ajabu hilo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,800
34,189
Gari la ajabu.jpg
 
kwa jinsi ninavyoliona, upande wa juu ni sawa na upande wa chini ila nadhani upande wa juu hauwezi uka-function maana kwa kawaida mabasi makubwa kama hayo huhitaji matairi mawilimawili kwa upande wa nyuma wakati hili basi kwa upande wa juu lipo tairi mojamoja tofauti na upande wa chini alafu matairi yake yote ya juu ni membamba alafu yanaonekana ni bandia....kingine kilichotofautiana ni site mirrors na wiper ambazo zinasupport body la upande wa chini la basi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom