Gari kwa 4 Mill

Gari kwa 4 Mill

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,092
Reaction score
53,568
Habari za usiku wadau,

Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante
 
Habari za usiku wadau,

Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante

ongeza kama 2m hv uagizie mwenyewe utoe manailoni mwenyewe mkuu,anataka gari ya aina gani kwani tumsaidie kuagiza?
 
yeye anasema gari lolote tu, hyo ni maximum budget yake. nimeongea nae sana lakini amrshindwa kuongeza.
 
Ninalo ila awe tayari kulipia ushuru wa 4m zingine amiliki gari lake saaaafi.
 
Habari za usiku wadau,

Nilikua nnauliza kama nitapata gari la aina yoyote kwa 4 mill ambalo lipo yard? kuna mdogo wangu ana-hiko kiasi cha pesa.
Asante
Ok,
Nenda Mwenge opposite na kwa Kakobe au Tabata Matumbi kwa JAN JAPAN ndo wauzaji wa gari za bei rahisi, yupo jamaa yangu mmoja alishawahi kununua pale mpaka kwa 3.5Mil. Ubora sina uhakika nao.
 
du kwa 4M hiyo lazima itajuwa ya mwaka 1993
 
Asingekuwa TZ labda angepata, lakini TZ na kodi juu inawezekana kweli? Labda amvue mtu mikononi, na ubora will not be guaranteed.....

Labda wataalam wa kuuza magari watatuhabarisha zaidi...
 
Ipo TVS bajaji. Kwa bei hiyo atapata bajaji. PM
 
Kwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?
 
Kwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?
Yap, ninazo gari mbili (both saloon cars) naziuza nataka kwenda masomoni. Kama uko interested tuwasiliane kwenye 0719077297.
 
Mkuu uwe makini sana au tafuta fundi akusaidie,vinginevyo utauziwa screen sever na wajanja.
 
ipo hyundai manual odo km4000 tu almost new bt muundo wake haina ac 4mil
 
lipo nissan infinity fx35 liko poa jamaa anauza anahitaji pesa ili akatoe mzigo wake...bei ni 3,500,000 0717022737
 
Kwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?

utapata kwa watu wanaouza na kwa lengo la kununua lingne, just ingia kwa madereva bajaj wana in4 za kutosha
 
Kwa milioni 5 jee inawezekana kupata gari dogo?
Mm ninalo lipo katika hali nzuri,nauza sababu nataka badilisha gari,nna baloon cresta kama unahitaji tuwasiliane,ama ushapata
 
Kwa hiyo bei nirushie PM nikuuzie bajaji safi usanye.
 
ipo hyundai manual odo km4000 tu almost new bt muundo wake haina ac 4mil

Transporter naomba uweke picha hapa tafadhali. Wengine tuna mzuka sana na magari manual. Tafadhali kama vipi weka picha niongeze interest tafadhali. Nasubiria mzazi. Muhimuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom