Gari kubwaaa

Magari makubwa kama haya yanaharibu barabara kweli.
 
Magari kama haya ndo mazuri, hautakaa usikie oil imepungua wala maji yameisha.
 
Ili kuliendesha inataka upite service kabisa, maana vinginevyo utarudi na visingizio kibao!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…