mozambiqueone
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 241
- 132
Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu.
Pia harrier, kluger
Pia harrier, kluger
Ulitaka kusema nini sasa mkuu ?Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu.
Pia harrier, kluger
Mimi kwa uzoefu kuhusu magari. Ni kuwa waTz 90% tunatumia used cars . Inategemea tu aliyeitumia mwanzo kaiachaje?! Km si tatizo kama mmiliki wa kwanza alikuwa smart. Na hii ni kwa aina yoyote ya gariNimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu.
Pia harrier, kluger
que preço você quer comprar?Nimeona facebook gari inauzwa aina ya prado. Bei iko 12m hiyo nzima kweli. Km 120,000. Wazoefu someni juu ya hii kitu.
Pia harrier, kluger
Ok ok. Nimeipenda gari hiyo, iko na namba za usajili zilizoanzia D..... nikahisi inaweza kuwa nafuu. Lakini nikapata hofu je haiwezi kuwa na tatizo!. Asante kwa mawazo haya!Mimi kwa uzoefu kuhusu magari. Ni kuwa waTz 90% tunatumia used cars . Inategemea tu aliyeitumia mwanzo kaiachaje?! Km si tatizo kama mmiliki wa kwanza alikuwa smart. Na hii ni kwa aina yoyote ya gari
que preco voce quer comprarque preço você quer comprar?
Gari prado bei 12m km 120,000. Kwa bei hiyo inaweza kuwa gari iko vizuri kweli, au iko shida ndo maana inauzwa! Kwa wazoefuDuh..sijui nikomenti nini hapa..!
Ngoja niwahi siti ntarudi mida
picha iko wapi sasaGari prado bei 12m km 120,000. Kwa bei hiyo inaweza kuwa gari iko vizuri kweli, au iko shida ndo maana inauzwa! Kwa wazoefu
Swali nzuri. Nimeona gari Facebook, ni prado bei 12m, km iko 120,000. Inaweza kuwa nzima, au inaweza kuwa na tatizo ndo maana inauzwa bei hiyo. Kuna aina nyingine pia nimeona z IU naelekea bei kama hizo anafuatilia prado, Kruger, harrir. Kwa aina ya gari na bei zinazoendana na nilipotaja kuna uwezekano kuwa ni nzima, au kuna shida fulani ndo maana zinauzwa kwa bei hiyo. Nimeona majibu ya Kiongozi mmoja hapa. Naendelea kusikiliza.Ulitaka kusema nini sasa mkuu ?
Wacha niifuate, nikiipata soon na attach hapapicha iko wapi sasa
ingia www.zoomtanzania.com halafu usearch gari uitakayo na simu ya mmiliki utaiona zungumza naye na km ni Dalali mwabie namtafuta mmilikiWac
Wacha niifuate, nikiipata soon na attach hapa
Namba D ndo nn ndugu?Ok ok. Nimeipenda gari hiyo, iko na namba za usajili zilizoanzia D..... nikahisi inaweza kuwa nafuu. Lakini nikapata hofu je haiwezi kuwa na tatizo!. Asante kwa mawazo haya!
We hujawahi miliki chombo cha moto Tz aisee.Namba D ndo nn ndugu?
Jibu swaliWe hujawahi miliki chombo cha moto Tz aisee.
Thank you. Nitachekiingia www.zoomtanzania.com halafu usearch gari uitakayo na simu ya mmiliki utaiona zungumza naye na km ni Dalali mwabie namtafuta mmiliki
mbona gari ni nyingi tu
2004 Toyota Kluger
TSh 9,800,000
View attachment 900510
2004 Toyota Kluger in Dar Es Salaam
na hapa ni Harrier chini ya 10m bofya Toyota Vehicles for Sale