Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Feb 7, 2016 #1 kama ingalikua magari nayo yana aibu kama binadamu nadhani hili lingegoma kutemebezwa
DuppyConqueror JF-Expert Member Mar 30, 2014 9,466 6,965 Feb 7, 2016 #2 Amavubi said: View attachment 321580 kama ingalikua magari nayo yana aibu kama binadamu nadhani hili lingegoma kutemebezwa Click to expand... Mkuu badili title iwe "Jipu kama gari"
Amavubi said: View attachment 321580 kama ingalikua magari nayo yana aibu kama binadamu nadhani hili lingegoma kutemebezwa Click to expand... Mkuu badili title iwe "Jipu kama gari"
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,900 36,218 Feb 7, 2016 #3 Yakija huku lazima kiranja mkuu atayatumbua tu.....
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Feb 7, 2016 Thread starter #4 KikulachoChako said: Yakija huku lazima kiranja mkuu atayatumbua tu..... Click to expand... umeona lilivyonuna in advance?
KikulachoChako said: Yakija huku lazima kiranja mkuu atayatumbua tu..... Click to expand... umeona lilivyonuna in advance?
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Feb 7, 2016 Thread starter #5 DuppyConqueror said: Mkuu badili title iwe "Jipu kama gari" Click to expand... hapo ndio mtihani mara hii siioni option ya kubadili/edit tittle
DuppyConqueror said: Mkuu badili title iwe "Jipu kama gari" Click to expand... hapo ndio mtihani mara hii siioni option ya kubadili/edit tittle
KikulachoChako JF-Expert Member Jul 21, 2013 18,900 36,218 Feb 7, 2016 #6 Amavubi said: umeona lilivyonuna in advance? Click to expand... Nimeona mkuu....yaani hilo mkuu hataliacha lazima alitumbue...
Amavubi said: umeona lilivyonuna in advance? Click to expand... Nimeona mkuu....yaani hilo mkuu hataliacha lazima alitumbue...
Werrason JF-Expert Member Nov 5, 2014 12,325 38,200 Feb 7, 2016 #7 Hili gari battery ikiwa down unaweza kuiwasha na power bank!!!
Amavubi JF-Expert Member Dec 9, 2010 30,156 13,249 Feb 7, 2016 Thread starter #8 werrason said: Hili gari battery ikiwa down unaweza kuiwasha na power bank!!! Click to expand... duh you have made me laugh for 2day
werrason said: Hili gari battery ikiwa down unaweza kuiwasha na power bank!!! Click to expand... duh you have made me laugh for 2day