Gsana
JF-Expert Member
- Aug 28, 2010
- 4,383
- 1,340
kwa bongo unaweza kupata gari yoyote kwa bei yoyote hata mil1 ila terms n conditions apply eg la wizi, ubovu, uchakaaji nk nk... ivo inafaa uone gari kwanza then uamue bei, ukiamua bei utaletewa gari baada ya siku 5 nawe unatangaza kuliuza coz umeshagundua shida yake, sio kwamba hazipo ila kununua ya 5m utakuja kulipia zaidi ya2 kwenye aidha spea ili ikae sawa au kumalizana na polisi kwa magari yaliyopiga matukio na mwishowe itarudi pale pale kuwa umetumia mil 9 kuliweka sawa, ni ushauri wangu tu kwa kuwa kwenye magari nipo long time. wewe ingia TRA uangalie kodi ya IST kwanza hata kama ni gari ya 2001 then ulinganishe na bei yako.
Ikiwezekana agiza upate gari ya huakika miaka ijayo kwa amni kuliko kununua 'pressure'
Mimi mfano nilikuwa na gari haina kazi nikapiga hesabu kuirepea nkaangalia AC wakasema 480,000 , tairi zote 420,000 , ream 320,000 taa ya nyuma 70,000 rangi kwa mchina nikaambiwa 1,200,000 jumla ikaja kama 2,500,000/- iyo gari ikiwa nzima safi unapata hata kwa mil 7 unusu sasa nikapiga hesabu kwa nini nisichukue 7.5 minus 2.5m inakuja mil5 sasa kwa nini nisitangaze nauza kwa mil 6....kutangaza fasta mtu kanipa 5.5mil apo nani kacheza kama pele, mm niliyeacha service zote nkauza kwa mil5 au aliyenunua kwa mil5 ili akafanye yooooote yale ya mil2.5.....apo sasa akili za kuambiwa, changanya na zako by JK