hiyo bei sijui labda utapata
Zipo,
Barabara ya Sinza Uzuri kuanzia kituo cha TANESCO, unapita mpaka SHULE then CORNER hadi DARAJANI utaziona zimepaki pande zote mbili, ulizia pale.
kwa hela hiyo bora ukanunue boxer yaani ata bajaji haitoshi
IST anzia 9m -12m ,may be iwe imetumika miaka minne bongo ndio mtu atakubali kukuuzia
jipange mkuu hiyo hela nakushauri ununue i phone 6 na ukajenge heshima bar for a week.
kwa hela hiyo bora ukanunue boxer yaani ata bajaji haitoshi
IST anzia 9m -12m ,may be iwe imetumika miaka minne bongo ndio mtu atakubali kukuuzia
jipange mkuu hiyo hela nakushauri ununue i phone 6 na ukajenge heshima bar for a week.
Zipo,
Barabara ya Sinza Uzuri kuanzia kituo cha TANESCO, unapita mpaka SHULE then CORNER hadi DARAJANI utaziona zimepaki pande zote mbili, ulizia pale.
hahahaha mi nimeshawai kuona gx 100 imeuzwa kwa mil 3 na nzima kabisa...endelea kutafuta mkuu....utapata...
IST ya 5M zipo, lakini wanaozipata ni wajanja wa mjini ambao mwisho wa siku wanaishia kukuuzia wewe kwa kuanzia 7M!
Tahadhari,
Ningependa tu mmwambie ukweli ili ajipange na sio kumpa faraja wakati hali halisi ya hizi gari kwa sasa inafahamika.
Hizi gari bado hazijashuka bei,kwa 5m hupati labda iwe imeibiwa sehem watu wanataka chao na wewe kwenda Jela.
Usilinganishe na Gx100 kwa kusema kwamba hata 3m unapata,kila kitu na wakati wake,ukifuatilia mambo ya magari utagundua kwamba Toleo linalofuata kama likiwa bora kuliko la mwanzo ndio linashusha bei ya toleo lillilopo.
Baloon almarufu Bongo fleva ilikuja kushushwa bei na GX 100,Gx 100 ikatesa sana na yenyewe ikashushwa na mfumko wa matoleo mengi sana kwa wakati mmoja,kama Vitz,Nadia,Ipsum nk,na hapo hapo ikaja kwenye chati TI ambayo hadi leo bado inakimbiza kwenye bei na ubora,humohumo IST imejikita.Na ikaingia tena matoleo ya GX 110 na pacha wake na Mark x na pacha wake ambao bei yao ni ndefu ile mbaya
Sasa hapo mpaka lije toleo la kuzivuruga hizi ndio ahuweni inapatikana.
Kwa ufupi ni kwamba 5m hupati,wasikupe moyo bure,ni bora uongeze pesa au ununue aina nyingine,la sivyo jela inakuita,utauziwa la wizi.
Hahahah,yaani mheshimiwa Mnyaa pamoja na posho zote unakuwa bahili namna hiyo.mimi sijamwambia kwamba atapata, mnimemwambia kwamba ZIPO, lakini wanaozinunua ni madalali wa mjini wanalipa faster na kupiga cha juu! Huwezi amini kuna watu mpaka leo hii wanalipia Mark X mpaka 22M, huwezi kuniuzia Mark X kwa zaidi ya 13M. Haka kamji mheshimiwa siku hizi kakubwa sana eti!
Hahahah,yaani mheshimiwa Mnyaa pamoja na posho zote unakuwa bahili namna hiyo.
Haya endelea