Gari IST, 2005, km 58000 inauzwa

Gari IST, 2005, km 58000 inauzwa

mbogojnr

Member
Joined
Jun 26, 2012
Posts
30
Reaction score
15
Ndugu wanajamii forum kuna gari aina ya IST inauzwa mwenye ofa nzuri anakaribishwa. Injini bado iko poa isipokuwa ina matatizo kwenye gear box maana ilipata ajali pia iliibiwa taa hivyo taa zilizopo ni za kichina na bumber kidogo ina shida. Taa zake ni za booster.
 
Gari hii inauzwa Tsh500,000 (laki tano tu) wahi upate hii gari kwa bei nafuu.
 
Ndugu wanajamii forum kuna gari aina ya IST inauzwa mwenye ofa nzuri anakaribishwa. Injini bado iko poa isipokuwa ina matatizo kwenye gear box maana ilipata ajali pia iliibiwa taa hivyo taa zilizopo ni za kichina na bumber kidogo ina shida. Taa zake ni za booster.
Ushuru; umelipwa
Lila kitu : kiko sawa
Bei ; 100000 tuu
Maongezi yapo
 
Ndugu wanajamii forum kuna gari aina ya IST inauzwa mwenye ofa nzuri anakaribishwa. Injini bado iko poa isipokuwa ina matatizo kwenye gear box maana ilipata ajali pia iliibiwa taa hivyo taa zilizopo ni za kichina na bumber kidogo ina shida. Taa zake ni za booster.
Kosa lako hukuweka bei
 
Huu mchezo mbaya mwekaji tangazo sio mmliki wa gari, kazi kwa mteja kuchakata anapataje full data, teheee tehee
 
Back
Top Bottom