Gari ipi ya Toyota unaipenda sana?

1696439571459.png
 
Unyama sana huu uwe mweusi alafu unaupangilia nguo za kuvaa unavaa kadet og na shati yako og ya jeans piga zako miwani ya maana alafu unaichia unyunyu wa kalage wa kule tweeter alafu upo na mrembo pembeni mwemba fulani hivi rangu ya kahawia daaah 🤣🤣🤣🤣😭😭😭😭😭😢😢😢😥😥😥
Kuna watu wamemnunulia Mange hii

View attachment 2771965
 
Back
Top Bottom