Gari inauzwa

Gari inauzwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Gari inauzwa aina ya Toyota Carina inatumia diesel, haina tatizo lolote, bei shiling milion 4, ipo victoria mikocheni, kama ulikuwa unataka gari hakika hii ni fursa muhimu kwako
Piga simu no. 0716 85 06 95
Kwale watakaotaka kuiona
 
...mkuu weka picha ya hiyo Toyota Carina inayotumia diesel,
 
Mkuu ni Toyota carina ipi zipo nyingi tupia picha hapa.
 
Mkuu weka specification e.g mailage, year of manufacturing/model, manual/automatic, engine size and the likes na bila kusahau kutupia vipicha kadhaa mkuu! That's how business goes. So long as umetumia muda wako na energy /calories zako ili kutangaza Mali yako basi fanya complete advertisement!
Gari inauzwa aina ya Toyota Carina inatumia diesel, haina tatizo lolote, bei shiling milion 4, ipo victoria mikocheni, kama ulikuwa unataka gari hakika hii ni fursa muhimu kwako
Piga simu no. 0716 85 06 95
Kwale watakaotaka kuiona
 
Gari inauzwa aina ya Toyota Carina inatumia diesel, haina tatizo lolote, bei shiling milion 4, ipo victoria mikocheni, kama ulikuwa unataka gari hakika hii ni fursa muhimu kwako
Piga simu no. 0716 85 06 95
Kwale watakaotaka kuiona

Mkuu ya mwaka gani hiyo gari?
 
Back
Top Bottom