Gari inauzwa

Gari inauzwa

Joined
Nov 25, 2013
Posts
56
Reaction score
9
Gari aina ya toyota carina inatumia diesel na ni manual, haina tatizo lolote
Inauzwa milion 4 pungufu mtaongea
Inamilikiwa na mwanamama 1 mikocheni na ameamua kuiuza baada ya kununua gari jingine
Kama unataka gari hakika hii si ya kukosa maana ni nzima kabsa alikuwa anaitumia kwenda na kurudi oficini tu
Ntafute kwa simu 0716 85 06 95 ili nikuwezeshe kwenda kuiona na kuongea na muuzaji
Opportunity of a lifetime kwa mwenye nia ya kununua gari nzima kabisa dont miss it.
 
Carina inatumia diesel? sorry nauliza tu..... na ngoja nikae kimya
 
mkuu tuwekee picha tafadhali
Serious.
Nimesikia manual miguu imeshaanza kuweweseka na mkono wa kushoto hapa ushaanza kusumbua
 
Mmh carina inatumia dizeli....hebu weka picha na specification ni ya mwaka gani
 
Back
Top Bottom