Gari Inauzwa

Ados

Senior Member
Feb 26, 2011
117
20
Gari inauzwa Nissan March Sh 4.7m inatumia mafuta kidogo Lita 1 Km15 ipo hapa Dar piga 0715236210
 
Funguka zaidi,

-ya mwaka gani
-Colour
-imeingia lini bongo
-odometer inasomaje
-Kwa nini unauza/inauzwa
 
Mkuu ukitangaza biashara yako kihivyo bila info za umuhimu utoweza kuuza wadau wanataka pics na specs za gari
1.Year of manufacture/year on seatbelt
2.Milleage/odometer
3.Color/condition(Hapa ungeweka pics)
4.Year of Registration hapa TZ(weka na namba hata mbili eg BQ* )

Nawasilisha
 
Gari inauzwa Nissan March Sh 4.7m inatumia mafuta kidogo Lita 1 Km15 ipo hapa Dar piga 0715236210


Embu cheki hii thread hapa, itakusaidia:kutoka kwa mwanajamii...RAMDHODS

https://www.jamiiforums.com/matangazo...uki-swift.html

Tatizo la Nissan March na Vitz ni spea. Ni gari nzuri lakini spea zake zipo juu. Unaponunua gari, kama ungependa kupata unafuu wa matengenezo, tafuta gari ambayo vifaa vyake vinaingiliana na magari mengine mengi, au hizo gari zipo nyingi hapa mjini. Vinginevyo, spea zinakua ngumu kupata na bei inakua juu.

Kwa mfano, Fan ya Vitz ni Tsh 250,000 na ya Corolla unaipata kwa Tsh 35,000. Hope unaona mwenyewe gharama ya matengenezo inavyopanda ghafla.

Tatizo la Toyota Duet ni piston 3. Gari za piston tatu zinasumbua. Na gari chache sana za Toyota zina 3 pistons engine. Hii inamaanisha spea ni chache, na ukiipata bei ipo hewani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom