Gari inauzwa toyota vitz

Gari inauzwa toyota vitz

TUMBOO

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2014
Posts
3,827
Reaction score
2,027
SOLD SOLD
toyota vitz inauzwa
Year:2000
Cc990
Bei ni milioni 3.5 haipungui
Ipo kimara
Full A/C

Gari ninayo mwenyewe haina shida yoyote yaan nimefanyia servises kilA kitu na tyre ni mpya
IMG-20181021-WA0014.jpg
 
Fungua bonet ya mbele pia,injini ipoje.?
 
Kumbuka namba yake inaanzia A,ukiwa freshi chukua mbili
Mkuu gari unavyonunua usiangalie ni namba A,B au c mm wakat nanunua hii zilikuwepo namba b lakin zilikua zimechoka kuliko hii namba A na hata kuuza ni sababu kuna kitu nataka kufanyia pesa na gari hii ni nzima kuliko unavyofikiria siisifii njoo na fundi uicheki
 
Back
Top Bottom