Gari bado ipo usisite kupiga simu
2.5 ova
Uzuri wa gari sio namba imesajiliwa lini, ni machine mkuu, angalia engine, gear box na body imekaaje tuu, then chukua uamuzi.Kumbuka namba yake inaanzia A,ukiwa freshi chukua mbili
Haili mafuta coz ina injini ndogo.. So inafaa kwa misele ya mjini.uzuri wa hii gari ni cc 990 nzuri haili mafuta sana