Mara 4Umeshaipiga rangi mara ngp hii??
Kwanini hukumalizia wa pili?Imepakwa mkono mmoja
Hii ntaikuta kumbe ila chief utakula 3mBado ipo kuiona iko kimara
Gari(vitz) bado unayo. Au umeshauzatoyota vitz inauzwa
Year:2000
Cc990
Bei ni milioni 3.5 haipungui
Ipo kimara
Full A/C
Gari ninayo mwenyewe haina shida yoyote yaan nimefanyia servises kilA kitu na tyre ni mpya 0786408577View attachment 908912