M manyesa Member Joined Jul 19, 2014 Posts 62 Reaction score 6 Jul 24, 2014 #1 Gari aina ya balloon chaser GX 90 inauzwa haina tatizo lolote ipo Dodoma mjini. Year. 1996 Transmission. Auto Six cylinder na vibali vyote vipo sawa. 0754 654410
Gari aina ya balloon chaser GX 90 inauzwa haina tatizo lolote ipo Dodoma mjini. Year. 1996 Transmission. Auto Six cylinder na vibali vyote vipo sawa. 0754 654410
kivyako JF-Expert Member Joined Feb 2, 2012 Posts 14,341 Reaction score 12,068 Jul 24, 2014 #2 Nikutumie kwa Mpesa?
asrams JF-Expert Member Joined Sep 4, 2011 Posts 4,798 Reaction score 2,656 Jul 24, 2014 #3 Weka picha mkuu ili kuboresha tangazo lako
shaks001 JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 1,246 Reaction score 1,071 Jul 24, 2014 #4 Toka ununue hujawahi kubahatika kuwa na kapicha mkuu?
M manyesa Member Joined Jul 19, 2014 Posts 62 Reaction score 6 Jul 26, 2014 Thread starter #5 kivyako said: Nikutumie kwa Mpesa? Click to expand... Hahahaaa, Tuma tu kaka
Kigogo JF-Expert Member Joined Dec 14, 2007 Posts 20,504 Reaction score 6,199 Jul 26, 2014 #6 Nani anunue gari limekaa kwa wagogo huko walikuwa wanabebea maziwa ya mgando kupelewa mnadani vyeyula...
Nani anunue gari limekaa kwa wagogo huko walikuwa wanabebea maziwa ya mgando kupelewa mnadani vyeyula...
M manyesa Member Joined Jul 19, 2014 Posts 62 Reaction score 6 Jul 27, 2014 Thread starter #7 Kigogo said: Nani anunue gari limekaa kwa wagogo huko walikuwa wanabebea maziwa ya mgando kupelewa mnadani vyeyula...View attachment 173496 Click to expand... Hahahaaa, Hii gari ilikua Dar baada ya kuja kikazi Dom nikaja nayo. Wewe unawadharau wagogo ngoja wakusikie.
Kigogo said: Nani anunue gari limekaa kwa wagogo huko walikuwa wanabebea maziwa ya mgando kupelewa mnadani vyeyula...View attachment 173496 Click to expand... Hahahaaa, Hii gari ilikua Dar baada ya kuja kikazi Dom nikaja nayo. Wewe unawadharau wagogo ngoja wakusikie.
Bingwaman JF-Expert Member Joined Oct 22, 2010 Posts 548 Reaction score 288 Jul 29, 2014 #8 Jamani, siku hizi hata simu za Mchina za shilingi 20,000 zina kamera nzuri tu. Muwe mnaweka picha.
Kitabu JF-Expert Member Joined Jan 7, 2011 Posts 313 Reaction score 29 Jul 29, 2014 #9 Weka Picha Mkuu,picha ni ya lazima