Gari inauzwa haraka Toyota Hilux 2.8 engine 3L

Gari inauzwa haraka Toyota Hilux 2.8 engine 3L

Original Pastor

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2007
Posts
1,274
Reaction score
52
Gari inauzwa haraka no whats app nikutumie picha 0713669533, gari ji mpya kabisa
 
Wahi haraka ni whats app 0713669533 nikutumie picha karibu sana
 
kweli hiyo inauzwa kwa haraka...unashindwa hata kuweka picha na vitu vingine muhimu sababu ya haraka!!
 
Zamaulid soma nilichoandika nimekwambia ni whats app nikutumie picha
 
Gari hiyo inauzwa
 

Attachments

  • 1420791269400.jpg
    1420791269400.jpg
    87.7 KB · Views: 612
Gari inauzwa
 

Attachments

  • 1420791360940.jpg
    1420791360940.jpg
    88.1 KB · Views: 531
Weka bei mkuu, mwaka wa kutengenezwa, kilomita ilizotembea, mafuta inayotumia, transimission etc
 
Utaambiwaje bei hata kuiona hujaiona kwani biashara maelewano karibu utanunua kwa thamani ya kitu ukikiona nikikutajia bei na wewe unah3la za escrow itakuwaje njoo uione tuongee biashara
 
sexologist

Umejuaje kama gari iko Dar na anayeiuza ni mzaramo?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom